Exodus 2:23-24

23 aBaada ya muda mrefu, mfalme wa Misri akafa. Waisraeli wakalia kwa huzuni katika utumwa wao, walilia na kilio chao cha kutaka msaada kwa ajili ya utumwa kikamfikia Mungu. 24 bMungu akasikia kilio chao cha huzuni, akakumbuka Agano alilofanya na Ibrahimu pamoja na Isaka na Yakobo.
Copyright information for SwhKC